Habari za Punde

ZSSF yakabidhi vifaa vya kusomea Skuli ya Sekondari Hasnuu Makame KibuteniMkurugenzi mtendaji wa ZSSF ndugu Nassor Shaban Ameir amemkabidhi Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Lela Muhamed Mussa vifaa mbalimbali vya kusomea kutoka huko Skuli ya Sekondari Hasnuu Makame Kibuteni Mkoa wa Kusini Unguja.
Miongoni mwa vifaa hivyo ni pamoja mikoba,mabuku,kalamu,penseli na Kampasi.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.