RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar, wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki kabla ya
kuwaapisha Majaji wa Mahkama Kuu Zanzibar akiowateua hivi karibuni, na (kulia
kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdullah, hafla
hiyo ya kuapisha iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
16-11-2023.
MAJAJI wateule wa Mahkama Kuu Zanzibar wakiwa
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar wakisubiri kuapishwa na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa Majaji
wa Mahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar leo 16-11-2023 na kutoka
(kulia ) Mhe. Khadija Shamte Mzee, Mhe.
Salum Hassan Bakari na Mhe. Haji Suleiman Khamis (Tetere)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Khadija Shamte Mzee kuwa
Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar leo 16-11-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akikabidhi hati ya kiapo ya Mhe. Khadija Shamte Mzee baada ya kumuapisha kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo
ya kuapisha iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023
na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi
Mhandisi Zena Ahmed Said.
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akumuapisha Mhe.Salum Hassan Bakari kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo
ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
16-11-2023 na (kushoto kwa Rais) Katibu
wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi
Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya Kiapo ya Mhe. Salum Hassan
Mzee, baada ya kumuapisha kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo
iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la
Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed SaidRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya Kiapo ya Mhe. Salum Hassan
Mzee, baada ya kumuapisha kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo
iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la
Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Haji Suleiman Khamis (Tetere)
kuwa Jaji wa Hahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo ya kuapisha iliyofanyika katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa
Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu
Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidi hati ya kiapo Mhe. Haji Suleiman
Khamis (Tetere) baada ya kumuapisha kuwa
Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar leo 16-11-2023
WAKUU wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar
wakifuatilia kuapishwa kwa Majaji
wa Mahkama Kuu Zanzibar, walioteuliwa hivi karibuni, wakiapishwa na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,
hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023
MAJAJI wa Mahkama Kuu Zanzibar wakifuatilia
kuapishwa kwa Majaji wa Mahkamu Kuu Zanzibar walioteuliwa hivi karibu, wakati
wakiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi , hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar leo 16-11-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Majaji wa
Mahkama Kuu Zanzibar aliowaapisha na Viongozi
Wakuu wa Serikali, baada ya kumalizika kwa hafla ya kuwaapisha katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023
No comments:
Post a Comment