Watoto Hiyam Muhsin na Said Issa wakiwa na mau a kwa ajili ya mapokezi ya Rais wa Romania Mhe. Klaus Iohannis wakati wa kuwasili katika Bandari ya Malindi Zanzibar kwa ajili ya ziara yake ya Siku moja Zanzibar, akitokea Jijini Dar es Salaam.
RAIS wa Romania Mhe. Klaus Iohannis akiwa na
Mkewe Mama Carmen Iohannis wakikabidhiwa
maua na Watoto Hiyam Muhsin na Said Issa walioandaliwa
kwa ajili ya mapokezi yake
alipowasili katika Bandari wa Malindi Jijini Zanzibar leo 18-11-2023 kwa ziara ya siku moja Zanzibar akitokea Jijini Dar es Salaam
RAIS wa Romania Mhe.Klaus Iohannis akisalimia
na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar Mhe. Jamal Kassim Ali
alipowasili katika bandari ya Malindi Jijini Zanzibar kwa ziara ya Siku moja Zanzibar, akitokea
Jijini Dar es Salaam na (kulia kwa
Waziri) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhamed Mussa
RAIS wa Romania
Mhe.Klaus Iohannis akiwa na Mkewe
na (kushoto kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar Mhe.Jamal Kassin
Ali wakiangalia ngoma ya Msewe
iliyoandaliwa kwa ajili ya mapokezi yake
alipowasili katika Bandari ya Malindi Jijini Zanzibar kwa ziara ya Siku moja akitokea Jijini Dar es
Salaam
No comments:
Post a Comment