Habari za Punde

Tume za Uchaguzi NEC na ZEC Zakutana Zanzibar

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji (R) Mhe. Jacobs Mwambegele (wapili kulia) akiongoza  cha pamoja kati ya NEC na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kilichokutana leo Disemba 13,2023 Mjini Zanzibar. Wengine pichani ni  Mwenyekiti ZEC, Mhe. Jaji  George Kazi (wapili kushoto), Makamu Mwenyekiti wa ZEC, Mhe.Jaji Aziza Iddi Suwedi na Makamu Mwenyekiti wa NEC, Jaji wa Rufaa (Mst). Mhe. Mbarouk Salim Mbarouk.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji (R) Mhe. Jacobs Mwambegele (kulia) akiteta jambo na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Mhe. Jaji  George Kazi wakati wa kikao cha pamoja baina ya NEC na ZEC kilichokutana leo Disemba 13,2023  kisiwani Zanzibar. (Picha na NEC).
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.