Habari za Punde

City College Yakabidhi Zawadu kwa Mchezaji Mwenye Nidhamu Kutoka Timu ya APR.FC

Mkuu wa Chuo cha City College Ilala Dar es Salaam Ndg. Shaban akimkabidhi zawadi ya shilingi laki mbili mchezaji mwenye nidhamu katika Mchezo wa Mapinduzi Cup 2023/2024 kutoka Timu ya APR.FC Banga Solomon  wakati wa mchezo wao na Timu ya JKU mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar Timu ya APR.FC  imeshinda  mchezo huo kwa bao 3-1. 


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.