Meneja wa Shirika la Bima la Taifa Tanzania (NIC ) Kanda ya Zanzibar Ndg. Khamis Msami akimkabidhi zawadi ya fedha tasilim mchezaji Bora wa Mchezo wa Kombe la Mapinduzi Cup kutoka Timu ya APR.FC Niyibizi Ramadhan kwa kuchaguliwa na jopo la Makocha katika Mchezo huo wa Kombe la Mapinduzi Cup dhidi ya Timu ya JKU mchezo uliofanyikav Uwanja Amaan Complex Zanzibar leo 2-1-2024.Timu ya APR .FC. imeshinda mchezo huo kwa bao 3-1.
DKT. MUYUNGI ASISITIZA KASI UJENZI WA JENGO LA OMR, MTUMBA DODOMA
-
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi akipata maelezo
kuhusu hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa mradi wa jengo la ofisi hiyo
unaoendelea ka...
29 minutes ago



0 Comments