Mkuu wa Chuo cha City College Ilala Dar es Salaam Ndg. Shaban akimkabidhi zawadi ya shilingi laki mbili mchezaji mwenye nidhamu katika Mchezo wa Mapinduzi Cup 2023/2024 kutoka Timu ya APR.FC Banga Solomon wakati wa mchezo wao na Timu ya JKU mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar Timu ya APR.FC imeshinda mchezo huo kwa bao 3-1.
TARI Naliendele yashauri wakulima wa korosho kufuata hatua hizi kuleta tija
uzalishaji wa korosho nchini
-
Na Anne Robi, Mtwara
WATAALAMU wa kilimo cha korosho nchini wamewaasa wakulima kuanza kuandaa
mashamba yao kwa kufuata hatua kuu tatu na muhimu katika kul...
10 hours ago



0 Comments