6/recent/ticker-posts

Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024 Mchezi Kati ya APR na JKU Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Complex Timu ya APR Imeshindai kwa Bao 3-1

Mshambuliaji wa Timu ya APR .FC  akimpita beki wa Timu ya JKU wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024, mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar Timu ya APR.FC imeshinda mchezo huo kwa bao 3-1.




Wachezaji wa Timu ya APR.FC wakishangilia bao lao la tatu katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024, mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar.Timu ya APR.FC imeshinda mchezo huo kwa bao 3-1. 

 

Post a Comment

0 Comments