Habari za Punde

Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024 Kati ya Mlandege na Chipukizi Ulyofanyika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar.Timu hizo Zimetoka sare ya 0-0

Muamuzi wa mchezo kati ya Mlandege na Chipikizi Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024, mchezo uliyofanyika  katika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar, Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana 
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.