Habari za Punde

KIKAO IKULU NDOGO ARUSHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kikao cha kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa tarehe 16 Februari, 2024. Kikao hicho kimefanyika Ikulu Ndogo ya Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo  Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.  John Mongella.

Viongozi mbalimbali wa Serikali waliohudhuria Kikao hicho Ikulu Ndogo ya Arusha tarehe 16 Februari, 2024.

 Viongozi mbalimbali wa Serikali waliohudhuria Kikao hicho Ikulu Ndogo ya Arusha tarehe 16 Februari, 2024

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.