Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akiambatana na Mke wake Mama Sharifa Omar Khalfan wakiwasili katika Viwanja vya Familia Monduli kwa ajili ya kushiriki mazishi ya aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu Mhe. Edward Ngoyai Lowassa.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akishiriki katika mazishi ya aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu Mhe. Edward Ngoyai Lowassa yaliyofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Familia Monduli Mkoani Arusha.
Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR)
Tarehe.17.02.2024.
No comments:
Post a Comment