Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla leo tarehe 14.02.2024 ameshiriki kikao cha Kwanza katika Mkutano wa kumi na nne (14) wa Baraza la Kumi(10) la Wawakilishi, Chukwani Zanzibar.
Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR)
Tarehe.14.02.2024
No comments:
Post a Comment