Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan ahudhuria Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Mfalme Harald V wa Norway

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Kasri la Kifalme pamoja na Mwenyeji wake Mfalme Harald V wa Norway Kwa ajili ya kushiriki Dhifa ya Kitaifa Jijini Oslo. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Mwenyeji wake Mfalme Harald V wa Norway kwenye Kasri la Kifalme Jijini Oslo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Mwenyeji wake Mfalme Harald V wa Norway kwenye Kasri la Kifalme Jijini Oslo.
Mfalme Harald V wa Norway akizungumza kwenye Dhifa ya Kitaifa aliyoiandaa kwa ajili ya mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Jijini Oslo.
Wageni mbalimbali wakiwa kwenye Dhifa ya Kitaifa Jijini Oslo 
Wageni mbalimbali wakiwa kwenye Dhifa ya Kitaifa Jijini Oslo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Malkia Sonja wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Mwenyeji wake Mfalme Harald V wa Norway kwenye Kasri la Kifalme Jijini Oslo

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.