RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Dr. Said Kilindimo akitowa maelezo ya kutowa huduma ya kwanza kwa mgonjwa wa maradhi ya moyo, wakati akitembelea mabanda ya maonesho katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, kabla ya kuufunga Mkutano wa Kimataifa wa Magonjwa ya Moyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufunga Mkutano wa Kimataifa
wa Magonjwa ya Moyo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja
wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo
10-2-2024

10-2-2024RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalum Dr. Zahra Khan
kutoka Hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam kwa kujibu vizuri maswali wakati wa
Mkutano wa Kimataifa wa Magonjwa ya Moyo, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli
ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
Jijini Zanzibar, wakati wa ufungaji wa mkutano huo uliyofanyika leo 10-2-2024,
na (kulia kwake) Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh
RAIS wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi
maalum kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya
Kikwete Bi.Asha Ressa Izina, wakati wa ufungaji wa Mkutano wa Kimataifa wa
Magonjwa ya Moyo, uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja
wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo
10-2-2024 na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya
Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Prof Dr.Ali Civelek wa Chuo
Kikuu cha Istanbul Aydin Turkey, aliyemsomesha wakati akichukua mafunzo ya
udaktari Nchini Uturuki, baada ya ufungaji wa Mkutano wa Kimataifa wa Magonjwa
ya Moyo, uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege
Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-2-2024
No comments:
Post a Comment