WACHUKUZI wa Mizigo Bandari ya Malindi Zanzibar
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza wakati wa ziara yake katika Bandari ya
Malindi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Bandari ya Malindi Zanzibar,
akiwa katika ziara yake leo 26-2-2024 katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na
(kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Akif Ali Khamis
na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa na (kulia
kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid
Salum Mohammed
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Bandari Zanzibar Ndg.Akif Ali Khamis, wakati wa ziara yake
kutembelea Bandari ya Malindi Jijini Zanzibar kujionea huduma zinazotolea kwa
Wafanyabiashara wanaotumia Bandari ya Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa
Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ziara yake Bandari ya Malindi
Zanzibar, akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Mawakala wa
Forodha Zanzibar Ndg. Omar Hussein Mussa, akizungumza na kutowa maoni yake,
wakati wa ziara hiyo iliyofanyika leo 26-2-2024, na (kuia kwa Rais) Mkuu wa
Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Naibu Katibu wa Ushirika wa
Wachukuzi Bandari ya Malindi Zanzibar Ndg.Yahya Andrea Pima, akizungumza na
kutoa changamoto zao, wakati wa ziara yake kutembelea Bandari ya Malindi
Zanzibar leo 26-2024, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Unguja Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wafanyabishara, Wafanyakazi
wa Bandari na Wachukuzi wa mizigo, wakati wa ziara yake ya kutembelea Bandari ya Malindi Jijini Znzibar Wilaya ya Mjini Unguja.
WACHUKUZI wa Mizigo Bandari ya Malindi Zanzibar
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza wakati wa ziara yake katika Bandari ya
Malindi
WACHUKUZI wa Mizigo Bandari ya Malindi Zanzibar
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza wakati wa ziara yake katika Bandari ya
Malindi.
No comments:
Post a Comment