Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Mwinyi Amejumuika na Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Katika Iftaar Aliyowaandalia katika Ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkaribisha Tende Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, wakati wa hafla ya Iftaar maalum kwa Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja jana 25-3-2024.
WANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika Iftaar maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar iliyofanyika jana 25-3-2024.
WANANCHI  wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja  wakijumuika na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi  katika Iftaar maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi , katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakal Kikwajuni  Wilaya ya Mjini Unguja jana 25-3-2024

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftaar maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana 25-3-2024

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman, baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftaar maalum iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajini Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana 25-3-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman, baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftaar maalum iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajini Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana 25-3-2024

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (hayupo pichani ) baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftaar Maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Mwinyi katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana 25-3-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi msaada wa futari Mwananchi Mtopope Hakim Mohammed Hassan, baada ya kumalizika kwa hafla ua Iftaar maalum aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana 25-3-2024.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.