Habari za Punde

Rais wa Zanzibar nav Mwenyekiti wa Baraza lav Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Mwinyi Ameshiri Katika Kisomo cha Hitma na Dua Kumuombea Rais Mstaafub wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi Masjid Al Jumaa Kitumbini Dar es Salaam

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Imamu Mkuu wa Masjid Al Jumaa Kitumbini Jijini Dar es Salaam na Viongozi wa Msikti huo na kuhudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa na kujumuika na Wananchi katika Kisomo cha Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika Masjid hiyo baada ya Sala ya Ijumaa leo 22-3-2024

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuka na Masheikh, Wanavyuoni na Wananchi katika Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyoandaliwa na Uongozi wa Masjid Al Jumaa Kitumbini Jijini Dar es Salaam leo 22-3-2024 baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa,  na (kushoto kwa Rais) Imamu Mkuu wa Masjid Al Jumaa Kitumbini Sheikh. Said Ahmed Alawii Badawi na (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Baraza la Wadhamini Masjid Al Jumaa Sheikh.Faudh Aboud Muhammad
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wanavyuoni,Masheikh na Waumini wa Dini ya Kiislam katika kuitikia dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, ikisomwa na Imamu Mkuu wa Masjid Al Jumaa Kitumbini Jijini Dar es Salaam Sheikh. Said Ahmed Alawii Badawi (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais ) Mjumbe wa Baraza la Wadhamani Masjid Al Jumaa Kitumbini Sheikh, Faudh Aboud Muhammad na Mjumbe wa Baraza la Ulamaa Sheikh.Hassan Chizenga.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyoandaliwa na Uongozi wa Masjid Al Jumaa Kitumbini Jijini Dar es Salaam leo 22-3-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyoandaliwa na Uongozi wa Masjid Al Jumaa Kitumbini Jijini Dar es Salaam leo 22-3-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Masjid Al Jumaa Kitumbini Jijini Dar es Salaam, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika leo 22-3-2024 katika Masjid hiyo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.