Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu
wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo wakati alipowasili katika
Ukumbi wa Mikutano wa St. Gaspar mkoani Dodoma kwaajili ya Ufunguzi wa
Kongamano la Kuhamasisha Uwekezaji katika Bustani za Kijani Nchini kwa
Maendeleo EndelevuMakamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na viongozi mbalimbali katika Ukumbi wa
Mikutano wa St. Gaspar mkoani Dodoma alipowasili kwaajili ya kufungua Kongamano
la Kuhamasisha Uwekezaji katika Bustani za Kijani Nchini kwa Maendeleo Endelevu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifuatilia mawasilisho mbalimbali wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la
Kuhamasisha Uwekezaji katika Bustani za Kijani Nchini kwa Maendeleo Endelevu
linalofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa St. Gaspar mkoani Dodoma tarehe 15
Aprili 2024. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na
Mazingira) Dkt. Selemani Jafo na kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya
UONGOZI Bw. Kadari Singo.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la
Kuhamasisha Uwekezaji katika Bustani za Kijani Nchini kwa Maendeleo Endelevu
linalofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa St. Gaspar mkoani Dodoma
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
wananchi wanaotunza bustani mbalimbali za miti na maua wa Mkoa wa Dodoma mara
baada ya kufungua Kongamano la Kuhamasisha Uwekezaji katika Bustani za Kijani
Nchini kwa Maendeleo Endelevu linalofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa St.
Gaspar mkoani Dodoma
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na viongozi mbalimbali akiwemo Waziri wa
Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo (kulia)
na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule (Kushoto) mara baada ya kufungua
Kongamano la Kuhamasisha Uwekezaji katika Bustani za Kijani Nchini kwa
Maendeleo Endelevu linalofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa St. Gaspar mkoani
Dodoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na viongozi mbalimbali akiwemo Waziri wa
Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo, Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Adam
Kimbisa namna ya kuongeza jitihada katika upandaji miti na utunzaji mazingira
mara baada ya kufungua Kongamano la Kuhamasisha Uwekezaji katika Bustani za
Kijani Nchini kwa Maendeleo Endelevu linalofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa
St. Gaspar mkoani Dodoma tarehe 15 Aprili 2024.
No comments:
Post a Comment