Habari za Punde

Msanii wa Kizazi Kipya Bongo Flava Harmonize (Konde Boy) Anogesha Uzinduzi Rasmin wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Viwanja vya Maonesho ya Biashara Nyamazi Dimani Ndambani Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo 14-4-2024

MSANII wa Muziki wa Kizazi kipya (Bongo Flava) Harmonize  akitowa burudani wakati wa Uzinduzi wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, uliofanyika katika viwanja vya maonesho Nyamanzi Dimani Ndambani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 14-4-2024.MSANII wa Muziki wa Kizazi kipya (Zenj Flava) Muslee akitowa burudani wakati wa Uzinduzi wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, uliofanyika katika viwanja vya maonesho Nyamanzi Dimani Ndambani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 14-4-2024
MSANII wa Muziki wa Kizazi kipya (Zenj Flava) Chab Six akitowa burudani wakati wa Uzinduzi wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, uliofanyika katika viwanja vya maonesho Nyamanzi Dimani Ndambani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 14-4-2024
MSANII wa Muziki wa Kizazi kipya (Zenj Flava) Rico Single akitowa burudani wakati wa Uzinduzi wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, uliofanyika katika viwanja vya maonesho Nyamanzi Dimani Ndambani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 14-4-2024

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.