VIONGOZI wa Serikali na Chama wakijumuika na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali
Mwinyi na Familia yake katika kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Baba yake
Mzazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati
Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
jana 7-4-2024.
SHEIKH Abdulrahaman Dedesi akiongoza kisomo cha
Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili
Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika jana 7-4-2024, katika
viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
BALOZI Mdogo wa Oman anayefanyia Kazi zake
Zanzibar Mhe.Said Salim Al Sinawi,
Masheikh na Wananchi wa Zanzibar wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Familia ya Marehemu Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan
Mwinyi,katika kisomo cha Dua ya kumuombea, iliyofanyika katika viwanja vya
Ikulu Jijini Zanzibar jana 7-4-2024.
BAADHI ya Wananchi wa Jiji la Zanzibar
wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj
Dk.Hussein Ali Mwinyi na Familia yake katika kisomo cha Hitma na Dua ya
kumuombea Baba yake Mzazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili
Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu
Jijini Zanzibar jana 7-4-2024
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na
(kulia kwake) Mjane wa Rais Mstaafu wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Ali Hassan
Mwinyi Mama Siti Mwinyi na (kushoto kwake) Mjane wa Rais Mstaafu wa Tanzania
Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi Mama Khadija Mwinyi, wakijumuina
na Viongozi na Wananchi wa Zanzibar katika Kisomo cha Dua na Hitma ya kumuombea
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali
Hassan Mwinyi,iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana
7-4-2024
BAADHI ya Wananchi wa Jiji la Zanzibar
wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj
Dk.Hussein Ali Mwinyi na Familia yake katika kisomo cha Hitma na Dua ya
kumuombea Baba yake Mzazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili
Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu
Jijini Zanzibar jana 7-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Serikali na
Wananchi katika kuitikia dua ya kuhitimisha Kisomo cha Hitma na Dua ya
kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati
Alhajj Ali Hassan Mwinyi,ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar
Kabi,iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana 7-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa shukrani kwa Serikali
na Wananchi,baada ya kumalizika kwa Kisomo cha Dua ya kumuombea Baba yake Mzazi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali
Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana
7-4-2024.

Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi na Wananchi
katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi
(kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Alhajj Othman Masoud Othman, baada ya kumalizika kwa Kisomo cha Dua ya
kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati
Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
jana 7-4-2024
VIONGOZI wa Serikali, Wanafamilia na Wananchi
mbalimbali waliohudhuria Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi,
wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada
ya kumalizika kwa kisomo hicho na Iftar, kilichofanyika katika viwanja vya
Ikulu Jijini Zanzibar jana 7-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan.Mhe Hafidh Ameir,baada ya
kumalizika kwa Kisomo cha Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika
katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana 7-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Rais wa Zanzibar Mstaafu
Alhajj Dkt.Amani Abeid Karume,baada ya kumalizika kwa Kisomo cha Dua ya
kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati
Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
jana 7-4-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Rais wa Zanzibar Mstaafu
Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein,baada ya kumalizika kwa Kisomo cha Dua ya kumuombea
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali
Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana
7-4-2024.
No comments:
Post a Comment