Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Akabidhi Tuzo za Malkia wa Nguvu Jijini Mwanza

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi, Khadija  Mfaume Liganga, tuzo ya mshindi wa jumla ya Malkia wa Nguvu  2024   katika hafla ya utoaji tuzo za Malkia wa Nguvu 2024 iliyofanyika kwenye ukumbi wa Kwa Tunza jijini Mwanza
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza   katika hafla ya utoaji tuzo za Malkia wa Nguvu 2024 iliyofanyika kwenye ukumbi wa Kwa Tunza jijini Mwanza
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa tuzo za Malkia wa Nguvu 2024   katika hafla ya utoaji tuzo hizo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Kwa Tunza jijini Mwanza, Mei 18, 2024. Waliokaa kutoka kushoto Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa  Mwanza, Michael Lushinge, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, Mkurugenzi wa Cloud Media , Sheba Kusaga na Naibu Waziri  Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.