Habari za Punde

Rais wa Zanzibar nav Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiani wa Afrika Mashariki Ikulu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Wizara hiyo Mhe.Balozi Mahmoud Thabit Kombo (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-8-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri  wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Balozi Mahmoud Thabit Kombo , alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha na Ujumbe wake, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 9-8-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Wizara hiyo Mhe.Balozi Mahmoud Thabit Kombo (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-8-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Tanzania Mhe.Balozi Mahmoud Thabit Kombo, baada ya kumaliza mazungumzo na kujitambulisha,  yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-8-2024

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.