Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Amefungua Soko Jipya la Mwanakwerekwe Zanzibar leo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiuliza bei na kununua viungo vya mchuzi kwa mfanyabiashara wa mbogamboga Ali Hassan Ali, baada ya kulifungua Soko Jipya la Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ufunguzi huo uliofanyika leo 26-10-2024, ikiwa na Maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali Awamu ya Nane Zanzibar














 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.