Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Shaaban Ali Othman kulia akimkabidhi Mwenyekiti wa Taasisi ya Vijana Mkoa wa Kusini Boti pamoja na Vifaa kwa ajili ya kuendeleza shughuli zao za Uvuvi na Mwani katika hafla ya Mkono kwa Mkono Awamu ya Pili iliofanyika Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja..JPG)
Mwanachama wa Kikundi cha Umoja ni Nguvu cha Nganani Makunduchi Ali Hafidh Msingi akizungumza na Mwandishi wa Habari mara baada ya Kikundi chao Kukabidhiwa Boti pamoja na Vifaa kwa ajili ya kuendeleza Ukulima wa Mwani katika hafla ya Mkono kwa Mkono Awamu ya Pili iliofanyika Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR..
No comments:
Post a Comment