Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya picha, Balozi wa Uturuki Nchini, Dkt. Mehmet Gulluoglu baada ya mazungumzo kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Uturuki Nchini, Dkt. Mehmet Gulluoglu baada ya mazungumzo kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Balozi wa Uturuki Nchini, Dkt. Mehmet Gulluoglu, baada ya mazungumzo kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Novemba 13, 2024.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment