Habari za Punde

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Mjadala wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) katika maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya hiyo Jijini Arusha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mjadala wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya hiyo tarehe 29 Novemba, 2024. 

Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Mjadala wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Jijini Arusha. 
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Mjadala wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Jijini Arusha.
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.