Waziri wa Nchi Ofisi
ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni akifafanua
jambo wakati wa Kikao cha Mashauriano na Serikali
kuhusu Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira wa mwaka 2024 mbele ya Kamati
ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira jijini Dodoma.
Mkurugenzi
wa Kitengo cha Huduma za Sheria Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Dustan Shimbo
akitoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali wakati wa Kikao cha Mashauriano
na Serikali kuhusu Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira wa mwaka 2024 na
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira jijini Dodoma
Wajumbe
Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Maji na Mazingira wakiwa katika Kikao cha Mashauriano
na Serikali kuhusu Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira wa mwaka 2024 jijini
Dodoma
Naibu Waziri Ofisi ya
Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akifuatilia
Kikao cha Mashauriano na Serikali kuhusu Muswada wa Sheria
ya Usimamizi wa Mazingira wa mwaka 2024 na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji
na Mazingira jijini Dodoma
Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Maji na Mazingira Mhe. Jackson Kiswaga akiongoza Kikao cha Mashauriano na Serikali kuhusu Muswada wa Sheria ya
Usimamizi wa Mazingira wa mwaka 2024 mbele ya jijini Dodoma
No comments:
Post a Comment