Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Azungumza na Balozi wa Umoja wa Ulaya


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya picha  ya Pundamilia,  Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini, Mheshimiwa Christine Grau baada ya  mazungumzo yaliyofanyika kwenye  Ofisi Ndogo ya  Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 18, 2025. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimaina na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini,  Mheshimiwa Christine Grau katika mazungumzo yaliyofanyika kwenye  Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 18, 2025.  Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Ushirikiano kutoka Umoja wa Ulaya ( Head of Cooperation from the EU Delegation), Marc  Stalmsns. 
 Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha pamoja na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini, Christine Grau (wa tatu kushoto) baada ya mazungumzo yaliyofanyika kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 18, 2025. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Idara ya Ushirikiano kutoka Umoja wa Ulaya ( Head of Cooperation from the EU Delegation), Marc  Stalmsns na kulia ni Ofisa kutoka Ubalozi wa Umoja wa Ulaya Nchini,  Sarah Torp. Wengine pichani ni Maafisa  kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.