Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea heshima ya Gwaride Maalumu la Kikkosi cha FFU lililoandaliwa kwa ajili ya Baraza la Eid Al Fitry lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Polisi Bomani Wilaya ya Mjini Unguja Jijinin Zanzibar leo 31-3-2025.











No comments:
Post a Comment