RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali
alipowasili katika viwanja vya Maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja,kwa
ajili ya ufunguzi wa Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, uliyofanyika
leo 6-3-2025 katika ukumbi wa Maonesho Nyamazi.
WASANII wa Kikundi cha Kirobo wakionesha igizo
maalumu wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani,
yaliyofanyika katika ukumbi wa Maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
leo 6-3-2025.

WASHIRIKI wa Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya
Wanawake Duniani, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika
ukumbi wa Maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 6-3-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Maadhimisho ya
Siku ya Wanawake Duniani, yaliyoadhimishwa leo 6-3-2025 katika ukumbi wa
Moanesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
WAWAKILISHI wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa
wanaofanyia kazi zao Zanzibar, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
akihutubia katika mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani,
yaliyofanyika katika ukumbi wa maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
leo 6-3-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Maadhimisho ya
Siku ya Wanawake Duniani, yaliyoadhimishwa leo 6-3-2025 katika ukumbi wa
Moanesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
WASHIRIKI wa Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya
Wanawake Duniani, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika
ukumbi wa Maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 6-3-2025.

WASHIRIKI wa Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya
Wanawake Duniani, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika
ukumbi wa Maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 6-3-2025RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizundua Muongozo wa Uwezeshaji wa
Majukwaa ya Wanawake Kiuchumi na Uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa Kutokomeza
Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto 2025/2030, wakati wa mkutano wa Maadhimisho
ya Siku ya Wanawake Duniani, yaliyofanyika katika ukumbi wa moanesho Nyamazi
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 6-3-2025.

Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Kitabu cha Muongozo wa Uazishwaji
na Uwendeshaji wa Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Zanzibar, wakati wa
hafla ya mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo
6-3-2025 katika ukumbi wa Maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na
(kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Makamu wa Pili
wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Waziri wa
Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Kitabu cha Muongozo wa Uazishwaji
na Uwendeshaji wa Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Zanzibar, wakati wa
hafla ya mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo
6-3-2025 katika ukumbi wa Maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na
(kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa
Rais) Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Zanzibar Mhe. Riziki
Pembe Juma.
No comments:
Post a Comment