RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi
akikabidhiwa zawadi maalumu na Mkurugenzi Rasilimali Watu Benki ya Watu wa
Zanzibar (PBZ) Viwe Ali Juma,wakati akitembelea maonesho ya Maadhimisho ya Siku
ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, yaliyofanyika katika viwanja vya Kizimkazi
Mkoa wa Kusini Unguja 1-5-2025.
Mkurugenzi Rasilimali Watu Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Viwe Ali Juma,akitowa huduma za Kibenki kwa Wananchi waliotembelea maonesho ya Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2025, yaliyofanyika katika viwanja vya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja 1-5-2025.
No comments:
Post a Comment