Askari wa kikosi cha usalama Barabarani Mkoa wa Songwe Koplo Rajabu Said na Konstebo Cosmas Kagiligili wakiwa na bondia maarufu wa ngumi za kulipwa nchini Karim Mandonga (Mtu Kazi) Mei 02, 2025 baada ya kumpa elimu ya usalama barabarani walipokutana naye Kata ya Mahenje akitokea Mkoa wa Mbeya na kuelekea Mji wa Tunduma Wilaya ya Momba Mkoani Songwe.
Siasa : Mgombea nafasi ya Rais na Mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM
Warejesha Fomu INEC
-
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea
na...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment