Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Juscelino Kubitschek Jijini Brasilia nchini Brazil ambapo anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa pili wa Brazil na Afrika kuhusu usalama wa chakula, mapambano dhidi ya njaa na maendeleo vijijini. Tarehe 19 Mei 2025.
Hakuna Uhitaji wa Akaunti Kubadilisha Fedha Zilizochakaa – BoT
-
Songea – Ruvuma
Wananchi wametakiwa kuwa na utaratibu wa kupeleka fedha zilizochakaa,
kuchanika au kuharibika katika benki yoyote iliyo karibu nao, kwani h...
47 minutes ago
No comments:
Post a Comment