Makamu Mwenyekiti wa Kundi la Tarabu Nadi Ikhwan Safaa PRO,Mohamed Ilyas akizungumza kuhusiana na Maandalizi ya Klabu yao Kuelekea katika Usiku wa Taarabu Asilia(USIKU WA PAMBE)ambao unatarajiwa kufanyika Tarehe 30 May katika Hoteli ya Madinatil Bahr Chukwani Zanzibar.
Muimbaji wa Mkongwe wa Nyimbo za Taarabu Rukia Ramadhan kutoka Nadi Ikhwan Safaa akizungumza kuhusiana na Maandalizi ya Klabu yao Kuelekea katika Usiku wa Taarabu Asilia(USIKU WA PAMBE)ambao unatarajiwa kufanyika Tarehe 30 May katika Hoteli ya Madinatil Bahr Chukwani Zanzibar.
Muimbaji wa Nyimbo za Taarabu kutoka Kundi la Culture Musical Taarab Mgeni Khamis Abdalla akizungumza kuhusiana na Taarabu Asilia katika hafla ya Waandishi wa Habari Kuelekea katika Usiku wa Taarabu Asilia(USIKU WA PAMBE)ambao unatarajiwa kufanyika Tarehe 30 May katika Hoteli ya Madinatil Bahr Chukwani Zanzibar.
Katibu Mkuu Culture Musical Club Taimour Rukuni Taha akizungumza kuhusiana na Maandalizi ya Klabu yao Kuelekea katika Usiku wa Taarabu Asilia(USIKU WA PAMBE)ambao unatarajiwa kufanyika Tarehe 30 May katika Hoteli ya Madinatil Bahr Chukwani Zanzibar.
Mtangazaji wa Spice Radio Malik Ramadhan akitoa neno la kukaribisha Wageni katika hafla ya Waandishi wa Habari kuzungumzia Kuelekea katika Usiku wa Taarabu Asilia(USIKU WA PAMBE)ambao uatarajiwa kufanyika Tarehe 30 May katika Hoteli ya Madinatil Bahr Chukwani Zanzibar.
Muimbaji wa Nyimbo za Taarabu Dalila Ahmed Mohamed kutoka Nadi Ikhwan Safaa akizungumza kuhusiana na Maandalizi ya Klabu yao Kuelekea katika Usiku wa Taarabu Asilia(USIKU WA PAMBE)ambao unatarajiwa kufanyika Tarehe 30 May katika Hoteli ya Madinatil Bahr Chukwani Zanzibar.
Katibu wa Kundi la Taarabu Nadi Ikhwan Safaa Ahmed Juma Mohamed akizungumza kuhusiana na Maandalizi ya Klabu yao Kuelekea katika Usiku wa Taarabu Asilia(USIKU WA PAMBE)ambao unatarajiwa kufanyika Tarehe 30 May katika Hoteli ya Madinatil Bahr Chukwani Zanzibar.
Mkurugenzi wa Shirika la Habari ZBC Ramadhan Bukini akijibu Maswali yalioulizwa na Waandishi wa Habari katika Mkutano kuzungumzia Kuelekea katika Usiku wa Taarabu Asilia(USIKU WA PAMBE)ambao unatarajiwa kufanyika Tarehe 30 May katika Hoteli ya Madinatil Bahr Chukwani Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI,MAELEZO ZANZIBAR,26/05/2025.
No comments:
Post a Comment