Habari za Punde

Inna lillah wainna ilayhi rajiun Sheikh Jabir Haidar Al Farsy . Mwenyezi Mungu amlaze mahala mema peponi nasi atupe khatma njema aamin

SHEIKH JABIR HAIDAR AL FARSY ameariki dunia, Usiku wa kuamkia Jumatano-28.5.25.

Maziko yatafanyika Leo Alhamisi 29.5.25, kwa wanawake watakuwa pale kwa kaka yake (Kassim) Kikwajuni maiti itasaliwa Msikiti wa ijumaa malindi  Saa 10:00 alaasiri.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.