Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Daniel Francisco Chapo mara baada ya
kuhitimisha Ziara yake ya Kiserikali, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei,
2025.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Mgeni
wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Francisco
Chapo wakati wimbo wa Taifa wa Tanzania na ule wa Msumbiji ukiimbwa katika
viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2025.
No comments:
Post a Comment