Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akifuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia ZBC ya uwasilishaji wa Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa mwaka wa fedha 2025/2026, inayowasilishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Fedha na Mipango, Mhe. Saada Mkuya Salum, katika Baraza la Wawakilishi leo, tarehe 12 Juni 2025.
Puma Energy Tanzania Yadhamini Mkutano wa Wadau wa Ukuaji wa Sekta ya Anga
Afrika 2025 uliofanyika Zanzibar
-
Puma Energy Tanzania imedhihirisha kujizatiti kwake katika kukuza sekta ya
usafiri wa anga nchini kwa kudhamini Mkutano wa Wadau wa Ukuaji wa Sekta ya
A...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment