Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Mkutano Mkuu Maalum wa Chama hicho uliofanyika kwa njia ya Mtandao katika ukumbi wa mkutano wa NEC (White House) Makao Makuu ya CCM, Jijini Dodoma tarehe 26 Julai, 2025. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanya mkutano huo Mkuu kwa mara ya kwanza kwa njia ya mtandao na kuwakutanisha Wajumbe wote wa Mkutano huo kutoka nchini.
INEC : Watanzania Wahamasishwa Kushiriki Kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa
2025
-
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya
Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Tume
na wawa...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment