RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la
Mpendae Zanzibar Mhe.Toufiq Salim Turky, alipowasili nyumbani kwa
marehemu Salim Turky Mpendae Wilaya ya Mjini Unguja,kwa ajili ya kuhudhuria
kisomo cha Hitma na Dua (hauli) ya kumuombea Marehemu Salim Turky aliyekuwa
Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar, kisomo hicho kilichofanyika 20-7-2025.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Mjane wa Marehemu Bi.Tamima
Juma (kulia kwa Rais) na Watoto Wanaofadhiliwa na Taasisi ya Salim Turky Foundation
Zanzibar, wakiitikia dua ikisomwa na mmoja wa Watoto hao, baada ya kumalizika
kwa Kisomo cha Hitma na Dua (Hauli) ya kumuombea Marehemu Salim Turky aliyekuwa
Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar,iliyofanyika nyumbani kwa marehemu Mpendae
Wilaya ya Mjini Unguja .20-7-2025
No comments:
Post a Comment