Habari za Punde

Benki ya CRDB Yatowa Elimu Kwa Wateja Wao Zanzibar Huduma za Fedha Kwa Njia ya Mtandao "Internet Benking"

Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi Benki ya CRDB Stephen Adili akizungumza na kutowa maelezo ya huduma mbalimbali zinazotolewa na benki ya CRDB wakati wa hafla ya ufunguzi wa mafunzo ya Huduma ya Fedha kwa Njia ya Mtandao "Internet Benking " yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo 20-8-2025. 
Meneja Biashara Benki ya CRDB Zanzibar Abdalla Duchi akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Huduma ya Fedha kwa Njia ya Mtandao Internet Benking, kwa Wateja wa benki ya CRDB Zanzibar, yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo 20-8-2025.  

Wateja wa Benki ya CRDB Zanzibar wakifuatili mafunzo ya matumizi ya Huduma za Fedha kwa Njia ya Mtandao "Internet Binking" wakati Manager Internet Binking  Bi.Sarah Nzowa akitowa mafunzo hayo, yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja.   
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Zanzibar wakifuatilia ufunguzi wa Mafunzo ya Huduma ya Fedha kwa Njia ya Mtanado Internet Benking, yaliyofunguliwa na Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Dkt.Juma Malik Akil, yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar, yaliyowashirikishwa Wadau wa  Benki ya CRDB  Zanzibar.

Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Zanzibar wakifuatilia ufunguzi wa Mafunzo ya Huduma ya Fedha kwa Njia ya Mtanado Internet Benking, yaliyofunguliwa na Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Dkt.Juma Malik Akil, yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar, yaliyowashirikishwa Wadau wa  Benki ya CRDB  Zanzibar.

Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi Benki ya CRDB Stephen Adili akizungumza na kutowa maelezo ya huduma mbalimbali zinazotolewa na benki ya CRDB wakati wa hafla ya ufunguzi wa mafunzo ya Huduma ya Fedha kwa Njia ya Mtandao "Internet Benking " yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo 20-8-2025. 
Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya  Rais Fedha na Mipango Zanzibar Dkt.Juma Malik Akil  akizungumza na Wadau wa Benki ya CRDB Zanzibar wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mafunzo ya Huduma ya Fedha kwa Njia ya Mtandao "Internet Baking " mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.

Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Dkt.Juma  Malik akiagana na Meneja Biashara Benki ya CRDB Zanzibar Abdallah Duchi na (kulia kwake) Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi Benki ya CRDB Stephen Adili, baada ya kuyafungua mafunzo ya matumizi ya Huduma za Fedha kwa Njia ya Mtandao kupitia  benki ya CRDB yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.