Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha United Democratic Party (UDP), Mhe. Saum Hussein Rashid. Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Juma Khamis Faki (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 15, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).
MRADI WA AFYA HATUA WACHANGIA KUSHUKA KWA VIWANGO VYA MAAMBUKIZI YA VVU
MKOANI KIGOMA
-
Mratibu wa UKIMWI, Magonjwa ya Ngono na Via vya Uzazi na Homa ya Ini Mkoa
wa Kigoma, Dkt. Hosea William akielezea namna Serikali na THPS
wanavyoshirikiana...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment