Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) Mhe. Salum Mwalimu. Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Devotha Mathew Minja (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 12, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kualia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima. (Picha na INEC).
AMRI JUU YA KESI YA LISSU KURUSHWA MUBASHARA KUTOLEWA AGOSTI 18
-
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imesema Agosti 18,2025
itatoa amri kuhusu kurushwa mubashara kwa maelezo ya m...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment