
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha
Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) kilichopo Ubungo Jijini Dar
es Salaam tarehe 01 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea maduka yaliyopo katika Kituo cha
Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) kilichopo Ubungo Jijini Dar
es Salaam tarehe 01 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo kuhusu Kituo cha Biashara na
Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) kilichopo Ubungo Jijini Dar es Salaam
tarehe 01 Agosti, 2025.
Picha namba 04. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi mara baada ya kufungua Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) kilichopo Ubungo Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi mara baada ya kufungua Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) kilichopo Ubungo Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2025.
No comments:
Post a Comment