RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa
Dini ya Kiislamu baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa na Dua Maalumu ya kuiombea
Nchi Amani na Viongozi Wakuu wa Serikali, iliyofanyika katika Masjid Shaafi
Mbuyu Mnene Wilaya Magharibi “B” Unguja leo 15-8-2025

WAUMINI wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Sala ya
Ijumaa na Dua Maalumu ya kuiombea Nchi Amani na Viongozi Wakuu wa Serikali,
iliyofanyika katika Masjid Shaafi Mbuyu Mnene Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
leo 15-8-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Dini na
Wananchi katika kuitikia dua, ikisomwa baada ya kumalizika kwa Dua maalumu ya
kuiombea Nchi Amani na Viongozi Wakuu wa Serikali, iliyofanyika katika Masjid Shaafi Mbuyu Mnene
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 15-8-2025 na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu
wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kaabi na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Alhajj Dkt. Haroun Ali
Suleiman na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Hassan Othman Ngwali
No comments:
Post a Comment