Habari za Punde

Mkutano wa Pili wa Wakuu wa Nchi wa Mabadiliko ya Tabianchi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na Viongozi mbalimbali katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Pili wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi za Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Addis nchini Ethiopia. Tarehe 08 Septemba 2025.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.