MFANYABIASHARA wa Madafu akiwa katika mzunguko wa kutafuta wateja wa bidhaa hiyo jana akiwa eneo la darajani, dafu moja huuza shillingi 500/=. (Picha na Othman Maulid)
WAWILI WAFUNGWA MIAKA 30 KWA UBAKAJI
-
Na Mwandishi wetu, Simanjiro
WAKAZI wawili wa mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara,
wamehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kumbaka k...
51 minutes ago
0 Comments