Mandhari na harakati za kila siku katika eneo hili la Darajani Mjini Zanzibar, kama linavyoonekana pichani wakati wa kazi asubuhi ndivyo linavyokuwa na pirika pirika za hapa na pale na msongamano wa watu wakiwa katika shughuli zao.
WAWILI WAFUNGWA MIAKA 30 KWA UBAKAJI
-
Na Mwandishi wetu, Simanjiro
WAKAZI wawili wa mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara,
wamehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kumbaka k...
2 hours ago
0 Comments