WAFANYAKAZI wa Idara ya Utunzaji wa Barabara Zanzibar wakifanya ukarabati wa Barabara ya Biziredi ili kuweka lami katika sehemu ilioharibika ikiwa ni moja ya kuimarisha miundombinu ya Barabara.
SERIKALI YAOMBWA KUTAZAMA UPYA GHARAMA ZA USAJILI NA KODI KWA ONLINE MEDIA
-
Serikali imeombwa kupunguza gharama za usajili wa vyombo vya habari
mtandaoni (Online Media) ili kutoa fursa kwa vijana wengi zaidi kujiajiri.
Ombi hilo l...
1 hour ago
0 Comments