UNAMKUMBUKA Mzee Ali wa Skuli ya Hurumzi akifanya biashara ya kunazi, embe na mapera bado akiwa na shughuli ile ile ulomuacha wewe wakati ukisoma skuli hiyo, kama anavyoonekana akiwa katika kazi yake.
Dar City, Fox Divas watwaa ubingwa wa betPawa NBL 2025
-
Na Mwandishi wetu
Timu ya Dar City kwa upande wa wanaume na Fox Divas kwa upande wa wanawake
zimetwaa ubingwa wa mashindano ya klabu bingwa ya mpira wa k...
2 hours ago
0 Comments