MZEE Ramadhani Chagaka akisomewa gazeti na Mtoto wake Rukia Ramadhani (10) mweanafunzi wa darasa la tana skuli ya ST. Francis Maria, ambaye anapata elimu kwa njia ya kusaidiwa na Uongozi wa Skuli hiyo kutokana na Mzazi wake hana uwezo wa kumsomesha , ambaye ni mlemavu wa wa miguu, huishi kwa kutegemea kuomba misaada kwa Wananchi,
NAIBU WAZIRI WANU AAGIZA CHUO MZENGA KUTOA MAFUNZO YANAYOENDANA NA UCHUMI
WA ENEO
-
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir,
ameutaka uongozi wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Mzenga, kilichopo Kata
ya Mzenga, ...
1 hour ago
0 Comments